Thread ya Jela

[MEDIA=twitter]1646164824081027080[/MEDIA]

A day in the life of a capital remandee

A THREAD…

20h
Kodiaga iko na 15 blocks from block A to block O,mnawekwa kwa blocks according to your crimes,minor offences kama kuiba kamisi,mnakaa pamoja,wasee wa sexual offences wanakaa pamoja but serial rapists,hao huekwa kando,hao hukua wanoma design waurapiana wao kwa wao.


20h
block ya capital offenders,hua ya murderers na robbers( wezi wa bunduki)hao wanakaa pamoja,mimi nilikua iyo block,alafu kando yetu kuna block ya domestic terrorists(jamaa za alshabaab na bandits)hao hukua wamevaa red strips badala ya blackvery dangerous individuals.


20h
5:30mshaamka,sheria ni:heshimu mungu na hesabu,wasee wa CU wakianza kuomba lazima ufunge macho,hata kama wewe ni muslim,leader wa CU "Olilo"jamaa mmoja mbiggi na no nonsense . yeye hafungi macho ndio aone wale hawajafunga.ukipatwa kofi inaanguka kwa kipara kama meteorite


20h
Maombi ni 1hour,msee anaombea adi ukraine,“Mungu saidia bibi yangu Adhis akue mwaminifu,usisahau prosecutor baba,guza roho yake” you cant act tough time ya prayer.Olilo is there to humble you.wasee husema alipiga mtu ngumi moja akakufa ndio maana ako jela(a story for another day)


20h
6:00hesabu ya kwanza inafika (headcount kama sheep),kama mlilala 3001 inmates asubuhi mnafaa mkue hivo,msee mmoja akimiss hakuna food hadi apatikane,hiyo tactic makarao hutumia kuturn prisoners against eachother,huezi kubali kuona msee akihepa juu wewe ndio utalala njaa


20h
lemme explain vizuri:kwa court cells makarao huchotewa wanaletea wasee fegi na bangi,alafu wasee wanapack kwa haga,mnakunja packo ya fegi hadi inakua round mnaseti kwa nylon,mnapaka arimis alafu inaslide hadi ndanini biz fiti juu fegi moja ni 100,na weed ni 300(nilikua buyer).


20h
iyo pesa ndio humotivate wasee"magari",kuna gari ya mayai pia,msee anazunda mayai boil kama saba,jioni akirudishwa jela yeye anatega tu.mayai moja ni 300.unapata msee alishikwa 1999 since then hajai kula mayai.huyo anaeza toa hata K


20h
Kuna “heavy duty” hii ni gari ya simu,hawa ndio hua the most respected,mjamaa anazunda neon kicka ikiwa imejaa moto na credo ya 10k kwa haga, kucall for 5 minutes hua 50bob kuchat whatsapp ni 100 for half an hour.wanakuanga arguably the richest kwa prison


20h
Kama hujazoea gari yako hupata accident kwa gate mkirudi,afande charles anakuguza roho akiskia unadunda,unaletewa ndoo udenki,msee mnyonge anataga mayai yake hapo.but mjela original anakwara kabisa,"afande nitadenki aje na sijakula kitu kutoka jana?"wanasumbuana adi anaachwa


20h
Kama huendi kotini siku yako inakua boring,majamaa zilishikwa kitambo wanaflock around you na maswali ya huku njee.wewe ni wa nairobi lakini msee anakuuliza habari za Kwao uko Ochot Odong’ “naskia watu wa kanyathiang’ wamesaanza kuvuna mahindi?” Unashindwa utamchapia nini.


20h
You see…jela iyo small talk ndio hukeep wasee going,bila kubonga utachizi mzee,unapata umekaa na msee mmoja for 10yrs apo umexhaust everything there is ,to talk about,inabidi watafute new inmates wapewe story,hata kama. ni uwongo hao hawataki kujua bora story


20h
Lunch jela mnakula saa tatu ngware,ugali na maji ya mboga (for poor inmates like me), kama uko na dooh hata chips utakula,kuna wasee wako na millions huko kwa welfare,unapata msee alifungwa life na ako na mashamba kazi yake ni kuuza shamba iyo pesa anakula chips na bata kwa jela


20h
Capital block iko na tv,muuaji lazima akeepiwe busy, juu akizubaa ataua mtu,but sasa hua imesetiwa Jaramogi tv kila time ,kama wewe sio mjaka you dont have any business there,man time ya worldcup jamaa wanataka kuona sijui “dapki” maumbwa!,.msee anawatch crap na meno yote njee


20h
Napenda ball lakini football ya jela ni shaolin soccer,wasee hukua hapo kulipiza kisasi,ukiguza ball utaskumiwa footworks hadi kwa balls,nilikua nashinda hosi ya machizi kuwachekelea,kuna mjamaa hapo alikua ana jifanya deaf and dumb siku moja alipigwa marungu adi akapiga nduru.


20h
Iyo time wasee wanawatch "dapki"ndio wengine wanafua,wengine wakioga,bila maji unapata “upele” (ukicheki wasee wametoka jela hua wako na tuwounds) lazima uoge,unlike inda wasee wa kodiaga wakinotice wewe huogangi wanakuosha,my guy bony alioshwa once juu ya kuvaa nguo chafu


20h
Bafu ni open air,mnaoga njee,uko circumcision sio big deal,unapata mjamaa ako na firimbi inatoshana ngumi lakini haijakatwa, serial killer mzima hajang’adwa.hapo kwa kuoga ndio vita hutokea sana,msee anakuangalia thuthaz akijipapasa,inabidi mangumi itembee

2:00 Sapper inakua served ,ugali na beans,beans ni countable the rest ni supu,kuna sheria ya wafungwa inasema mfungwa hana haki na pia mfungwa hafai kunyeshewa,mvua ikianza asubuhi iishe saa tisa hiyo siki hamkuli.ndio maana hakuna kitu mfungwa anachukia kama mvua,

20h
After sqpper ndio "gari"za kotini zinarudikama hukukula kotini hiyo siku hauna bahati,wale wa kutega wanatega,kama ulikua na dooh unashika sigara zako,na mnakaba headcount ya mwisho then lockdown (hesabu hua mara sita daily) .unless msee akihepa,hapo mtahesabiwa hata mara thao


19h
Wasee wametoka kotini ndio hudetermine vile the day will end ,wakicome na goodnews hiyo siku cells zinachangamka mastori kibao,na mamoshi lakini wakikuja na story ya msee amefungwa life ama amenyongwa (condemn)iyo night itakua long, sad and quiet.kila mtu anafikiria maisha yake


19h
Hiyo ndio life ya mjela day- in day -out,adi siku utatemwa,ukiachiliwa wasee uko ndani hudai “umefufuka”,coz jail ni mtaa ya the walking dead wasee hua strong phisically lakini mentally uko weak kama a teenage girl,but hope keeps us alive,unahope kuachiliwa kesho,years inasonga


19h
Hio mtaa ukitaka wasee wakupende sell hope,wachapie vile kuna sheria mpya inasema watu wenye walishikwa bure wataachiliwa,(kila msee hubelieve alishikwa bure)wachapie vile they are still young hata wakifungwa 30yrs bado watatoka na waanze maisha,vile religion hufanya.


19h
Saaii mtu anataka kunirudisha jela ndio my worst enemy, wadau kama kawaida hii thread iwe funzo kwa wale wako kwa crime na wale wanapanga kuingia #KureformNdioForm

@Thirimaii enda jela msee

Hii yote hatuwesi kusoma Leo

there is some funny shit in there

Ati firimbi kitu mbaya ni kuangusha sabuni:D:D

Ameongeza uongo

Peana yako

Tulia makmasi