THOSE THAT RESIDE ALONG SIDE ROYSAMBU AND TRM DRIVE

Those that live along those areas, how true is this? Especially that part where young girls walk almost naked during the day
P.S if this post is useless, go tell your mother [ATTACH=full]493188[/ATTACH]

Sasa hizo vitu huyo mtu ameandika hapo ni vitu za kushangaza… unless he has lived all his life under a rock.

mkuuu, huku Kimilili sijaona hizo vitu

I lived in that very place over a decade ago. Been back a few times. So many lies in that passage. The place is nothing to write home about, just a regular Nairobi estate.

Hizo wines and spirits mingi wanasema kwani ziko wapi? I think hata Juja iko na mingi sana

Dio maana uliona utombe ng’ombe, sadness of life . Uwesmakende you are nothing just a common fool who learnt English on this forum

At least you once lived that place with me I was born those sides…ili kuwa uwaja tu the only social place with slides & swings there was clay garden…if I pass there that old building gives me alot of my childhood memories… can’t imagine the esto, building around has turned into a brothel city.

anything for social media likes

Juja alcohol joints ni mingi kuliko maduka:D:D:D:D.

Apart from Gate C na area around containers wapi tena Juja Kuna hizi wines and spirits?

Lumumba Drive and Mirema Drive nazo ziko na usherati wa level ingine. Places kama Juja wine and spirits shops wamezoea kukata tunusu na the best selling brands ni akina Chrome na Kenya King. Roysambu vijana wanakunywa expensive liquor na ni daily.

Seems umekuja juja juzi tu. Ask those who have been there from circa 08’ till kitu 15’ hapo. They know what I’m talking about. Container zimekuja juzi tu.

Kukosa degree ni kitu mbaya sana. Sasa watu hawatafanya social commentary ? Hizo vitu BTW ni za kushangaza to 99.999 % of Kenyans who live hand to mouth and have no idea how a machine washes clothes.

NimEingis Juja 2015 kusoma

Sisi ndio tunalipa rent huko…weekend utapata magari zetu huko…we only check in on the weekends…nothing new

Village wash wash takataka sasa ni nini umesema. Nilifikiria na hiyo upara yote kinuthia you would know that roysambu ni an open brothel.

As someone who used to have a Fwb hapo trm drive. Hio ni uwongo

Na kukiwekwa cabro ama barabara, kunguru huko zitapanda bei

Tell us more kuhusu hiyo Fwb

Random USIU girl I DMed then we hit it off.