Sasa jana nimepanda hizi gari si unazijua, hizi za kelele kama drum za wakorino. Kuingia hivi nimetulia poa sana nikingoja ijae conda amengangana ati wawili ijae kumbe ni wawili ndio wako ndani…yaani mimi na Dere.
.
.
Haithuru juu ilikuwa na ngoma sahizo inacheza nilingoja hadi ika jaa. Sasa abiria wakazidi kuja na wakajaa, Haleluya
.
.
kuzuba ka dame fulani karembo akakaa kando yangu.aki madame mlipea mungu nini muumbwe warembo hivi?? haina haja niwaambie venye ye mrembo.Sasa hapo damu ya fisi ikaanza kuchemka. Jicho moja inatazama ikikagua kama anatosha kuwa potential future galfwend na hii macho ingine inaangalia penye conductor amefika akiitisha fare.
.
.
Alafu ni ile siku pesa ya mradi imeingia sa Conda kufika ata sijui nilisemaje wawili lakini haijalishi. si hapo dame akanipa smile. hio smile pekee imetosha kutoa mzee kobe kwa shell yaani smile inafanya simba ianze kula mboga imekarangwa.
.
.
Nikagotea dame mambo msupa akanisho poa n btw thanks for paying my fare.weeh weeh weeh sauti tu aki.niliwaambia ni ka lightskin.although hapo kwa elbow kulikuwa na ubaguzi wa rangi,haidhuru ni mweupe we endelea na lupita.
.
Nakwambia dem alikua na sauti inaeza fanya Adele aache kuimba. akikuongelesha unajipata cloud nine bila sababu.nikajua hapa nimewai jackpot. tukaongea dakika kidogo nikajitetea yangu yote ata sijui lines zingine niliokota wapi lakini zilifanya kazi.imagine kuambia dame ati you are the heart to my knee ata haimek sense lakini kitu nimegundua ni ukijiamini kurusha lugha bora una flow hapo unapita na mtu… ama aje madem?
.
.
Sasa juu niliongea na dame nikajua huyu tayari ako potential zone nikaamua sasa namba ikuje juu aliniambia i’m about to alight.
si akanipea namba mpaka nikasave poa sana Potential Wife.umewai furahi ni kama umeshinda bet zote kuanzia sportpesa mpaka tazama chapa mpaka zile za shinda nyumba upate landlord.
.
ata sikutaka nimflash apate yangu nilikuwa nataka nifike home ndio nimpigie ka niko relaxed.Nikafika home nimechemsha ka strong tea na ngumu tatu nikiwatch KBC ju sikulipa Gotv nika okoa jahazi ya 150 juu pesa nililipwa bado ilikuwa thao thao sa kuivunja ni balaa.
uzuri haka ka simu kangu ata kama ime crack screen naeza ona kiasi juu niliuziwa na Maina Gachaga…
.
.
Nika piga simu true caller ikajileta sikuamini macho yangu.umewai pigisha simu chini ikagawanyika lakini screen bado inawaka juu haiamini kama imetupanishwa ivo.Na umewai faint mpaka ukapelekwa ICU kuamshwa na maji baridi?? Na nikuulize umewai shangaa mpaka ile mafuta wahenga walipaka mgongo ya chupa ika evaporate.Sikuamini huyu dame alinipea Namba ya Dj LYTA!!!
nimerudi mjengo.
15 Likes
hehe acha nicheke tu
[ATTACH=full]74007[/ATTACH]
2 Likes
Hahaha lol wacha tu
ouch
1 Like
[SIZE=6]Pole sana. Some advice for you next time[/SIZE]
[ATTACH=full]74009[/ATTACH]
2 Likes
:D:D
Seriously, one paragraph would have been enough to tell this hekaya…maximum two. Hapana potezea birrionaires wakati hivi.
2 Likes
Hii ufisi huwaonyesha mambo. Si Ni juzi tu mwingine hapa alisema alipewa number ya mtu wa kuuza gas.
nunua mercedes angekupa hadi ya mamake
1 Like
Best thing ni kuflash dame.kama huna credit kwa simu you’re a filthy peasant and should not dream of kunyanduana until your financial situation improves.
3 Likes
:D:D:D:D
Wasee wanaandika hekaya ni kama ni Insha ya class eight, blame it on Mwalimu Gashwin
1 Like
hekaya iko rualala, but ur lucky hupewa ya exhouster