This outbreak needs to be contained

[ATTACH=full]206408[/ATTACH]
CDC experts from around the world are following keenly and are working on a vaccine

Hii inakaa herpes

The very definition of ‘Nundu’…

Chinkus hawawes pumua

hii ni “Jipu”

at least si Linglong…

Speaking from experience I presume

Mchinku will finish us oooh

Hii ni ile unakatazwa kwenda gari round na wheel spanner ukilimalima tyre uone kaa iko na pressure enough.

Mchinku ni meffi…U will never see this gabbage coming from Germany…chinku is a scum…meffi

hehe kwani zile tyres za yule wariahe zilifika market eventually?

Mnanunua LingLong na mnataka performance ya BFGoodrich na Pirelli?

SISI kwisha!

An epidemic of singo tyres…

You must be from China then

Yes value for no money

nikiona LingLong naskiaga kulia, brand new full set ya 10 tyres lasted a record 3 weeks in 2006 nikiwa na Nyati mguu kumi

Shait you mean LingLong has been shafting motorists for this long - 2006 .I thought ni za juzi .

Hehehehe, hii ni brand gani, SIELMUZOLI