I’m not a fan of bongo music, but this one killed it. It takes me a way back to the days I was a mbachera na my mdengez alikuwa anakuja na CD ya bongo anacheza favorites zake. Na hii ndio ili ni nice na ingine ya Diamond kwa jina “Mawazo”. na ingine ya sam wa ukweli “sina raha”.
Miaka ime songa kweli.
Skia king Kiba pale kwa background, na the ka baze.
Hizi old school east african hits are pure fire. Kuna Dj flani hapa Ld anapenda kuzicheza huwa ananibamba sana. Hizo madays music producers walikua sawa kabisa. Nilikua napenda vile huyu jamaa alichange beat ikue reggae kwa minute 1:36.