This man

Mungu amsamehe.

Hawezi Jenga shule…

https://twitter.com/gabrieloguda/status/1744427575126962338?t=nPzy-fqtTPIEJtqEAlX-ZQ&s=19

ii ni ufala juu kama ii ni PR ime backfire viserious.
io ata zile chicken coops zake ni afadhali

1 Like

Jamaa ni fala sana. Hizo upuzi zake za affordable housing si atengeneze mashule kwanza. Atoke hapo atengeneze ma hosi, atoke hapo atengeneze ma uwanja to promote sports activities. Atoke hapo a promote ukulima na ajenge barabara aone Kenya ikisonga mbele na pia afufue factories zilikufa kitambo. Hio ndio kujitegemea lakini huyu jamaa huwa tu hayuko. Akaparare na uko…

1 Like

affordable housing ni mlo buana, zile lands zitanyakuliwa plus izo nyumba ni wizi tupu.

2 Likes