This Made International News

[ATTACH=full]467493[/ATTACH]

Developed countries take small issues very seriously unlike poor countries. In Kenya mashilingi among children is part of their growth. It is therefore expected ati mtoto akikosa kuwa na majongo mama anaenda hosi kuuliza daktari mbona watoi wake hawana mashilingi yet watoi wa majirani wamezijaza kwa kichwa :D:D

:D:D:D
Waiting for @cheekbusta 's comments

Kwetu tulikuwa tunapakwa kiwi na sodom apple. ikishindikana unaskia umepakwa oil mzee kwa kichwa :smiley: :smiley: :smiley:

Hapo home kuna jamaa alikua anaitwa Otieka, alikua na mashilingi for the longest time we were growing up, his name even changed to King’ori., but we were too n’aive to know why. Later learned he was a jaluo, King’s was a name accorded to him due to his worldly riches in ringworms

Hizo vitu hazikunipata, nakumbaka my childhood friend alikuwa na moja kubwa tulikuwa tunasema akona kikobole kwa kichwa. Mathake alikuwa anampaka mafuta ya kuosha gun [balistol oil]. Kishilingi kilikuwa resistant to both the anti fungal creams and the oil.

Ghasiaa kumbe mlimea na mashilingi kwa kichwa na mko hapa daily mkitusi rustler ati ana practice a backward way of life and barbaric culture. Mtu amekuwa na flawless skin all through his life. Enyewe nyinyi ni watu bure bloody fuckin’ burukenge’s…

Hizo mashilingi sikuizi sioni watoto nazo kama vile ilikua tukiwa vipii. Must have had something to do with poor diet ama hygiene.

afadhali mashilingi kuliko kuumwa na kupe na chawa na kunguni, unatembea ukinuka kiatu mzee kila mahali

Hygiene juu enyewe kuoga ilikuwa luxury. Passport ya kulazimishwa ilikuwa ndio mtindo :D:D

Ama brake fluid, more effective than oil

Hahahaha ati Kings. He must have ended up as a mkokoteni owner driver. He must own a fleet well labelled King Otieka 1, 2, 3

:D:DReally? If this is the case, then God had no intention of creating Africans. It happened by mistake.

:D:D:D

Hio ni watoto wa 90s and early 2000s. Ama wale wako ushago. Watoto wa siku izi already washawekewa dreads kwa kichwa yao.

Nowadays kuna chemists kila Kona kwa mtaa ama estate

No. I think ni venye @captain obvious amesema hapo juu. Diet imechange usafi uko juu.

By the way what’s the solution ya mashilingi? Kuna dawa?

This is the solution_ Balistol oil. Used for cleaning fire arms.

:D:D