This is where being a work mule for a man will get you even if he's your husband

Never get kids with a brokeass. Never marry a brokeass. You will become his work mule. There’s men who are just effeminate who expect women to provide for them. YOU CAN’T CHANGE THEM AND THEY WILL NEVER CHANGE. Don’t waste your time and your uterus.

Copied

Hi mum’s before I call it quit I need to hear different ideas from different people. Iko hivi, me nilifanya wedding 2004 from that time nimeishi life ya regrets, me diye ku provide kila kitu kwa nyumba, 2006 nikapata our first born but life ikawa ngumu coz my I laws came to live with me in our small ka house though the father in law was sick I could try to understand na nikashikilia doa yangu with hopes jamaa ata change. Life ikakua ngumu sana tuka seperate from 2008 to 2o11.tulipo rudiana after 3yrs nilijipanga nikapata ball nikaamka nilee watoi atleast from one father. After kurudi a jamaa hakuna ame change bado… Tukarushana juu tena after 2months na me nikaendelea na life na pia nikapata mtoi wa pili, nilifanya bidii kulea watoto wangu coz me ni mtu wa biashara. In 2014,tukarudiana mara ya pili… Kubuka si ni watu wa Church na kuna vile divorce Church hukataa so hio time yote sikuji engage na mtu mwingine with hopes omuhubby ata rudi na tukae vizuri. Tena tukaletana juu tena coz bado Ana expect ni fanye kila kitu kwa nyumba na bado madharau kabisa akaishia mara ya pili. Kutoka hapo 2014…no communication mpaka 2019 vyenye alidai a nataka kuona watoto. Kwangu nilishidwa kumtoa kwa mawazo coz he was my first love, yeye anaonekana kabisa hana shughuli na mimi coz ata communication hakuna, sometimes I think of divorce, but me huona kaa siku moja anaweza change na tukae life poa. Sasa ilifika pahali mamangu akasirika akasema watu wao wait we warudishiwe dawry ili ata kaa nipate mtu naweza oleka tena,jamaa alisema wao hawohitaji coz alijibu madharau akasema yeye hakuna chenye alitoa ni watu walimchangia hio dawry, but hivi karibuni after kukutana na watoi akasema ameamua twende tua settle ushagu of which ni mimi anatarajia ni msaidie kujenga hio nyumba yenye tutakaa. Me sina grace ata kidogo ya kusaidia kujenga ushago ata kidogo… Tena kwa moyo ata kaa napenda yeye ni kaa hanipendi nanimeanza kuona hakuna future. Now before niondoe mawazo yangu kabisa coz huyu mtu hatawahi change… I need your advice and views mums. Nimevumilia mengi, watoto ni elea bila msaada wake… Sometimes nafikilia nitafte mtu nioleke niendeleze but kuna huo mvutano dani yangu. Please wenye mko na ideas kujeni na wamatusi please spare my broken heart.

where do you find the time to go find and read all these…, shida za wenyewe. wewe ni idler btw tafuta kazi ya kufanya na uwache umama nugu hii

Nugu ni mamako chimpanzee. Are you going to tell me how I’m going to spend my time? You are the idler, that’s why you are in my posts. Tafuta kitu ya kufanya uachane na mimi. Bye. Wacha nikuje kazi. Create another handle.