Kenya inahitaji travellers. Tunafaa tuwe na content creators ambao hugo around the world kama Drew Binsky. As far as na enjoy content yao , I want jamaa ambaye I can relate to ambaye anaeza tuambia shida na faida za kutravel na kenyan passport.
Mi sijui kaa kuna Youtubers kaa wao so ka unajua niambie. Otherwise peace
Nice recommendation although inakaa kaa anafanya vlogging
Ange visit a lot of African countries kama Namibia , Tanzania , Zambia , South Africa na pale North Africa.
Ahh nice hio ndio inanifaa sasa.
Na pia ongeza WODE MAYA , akona content mzuri pia
Uhuru Kenyatta has travelled to 35 countries and traversed all the continents since he became president in 2013