This is the famous burukenge

2 Likes

Made famous by baba…should be the ODM party symbol

5 Likes

Kama Kuna animals Huwa wamenitoka ni reptiles and amphibians. I hate those creatures. Nikipata naua. And how I love cat family. Hata fisi naua.

3 Likes

Hio sio burukenge ???

Hio burrrkenge si mbaya kukeep as a pet , incase a mauki like resident armed to the teeth robber @johntez_addi_gaza_ms strikes you unamrushia hio mnyama and he is sorted, personally I keep a snake pet , nicknamed Beatrice
Cute Girl Love GIF

1 Like

Mblo unaita bibi Yako nyoka kwani ni mbaya aje?

2 Likes

zimejaa pale nyanza… ukieka kuku vibaya zinakuekea kwa tumbo

1 Like