This is Guka - Polite Requests. Ama Mnataka Nirudi Huku Kwa Brothels.................

Wadau niko na request mbili tuu.

First, wacheni kunitag ovyo-ovyo. Just because I blew my cover doesn’t mean we are pals. And for the record I am not 58 years - if you could string two brain cells together you would know I did that interview kitambo sana - over 6 years ago.

Pili, please stop making fun of somebody’s predicaments. Eti kuchapwa na kijana ama kuachwa na bibi. Eti kukatia shemale 5 years - when you are over 60 years you cling to these things. These things happen. Hata wewe zaweza kukufanyikia, so tulia.

Finally, mki-insist nitarudi huku na fujo sana. I just like passing by once in a while but hii kitu eti nikiingia naona 100 notifications inaudhi coz curiosity makes me go through all of them and I end up wasting a lot of time. Cease and desist ama nirudi.

Salimieni kale kamama ka Randan. Nakapenda sana.

Schupid fossil…
Salimia @Mzee mzima your nemesis

I don’t know you from Adam buy huyo si wewe kwa hio interview. Yule fala anapenda mungu sana, na wewe na lugha yako huambatani na mtu wa kupenda mungu sana.

how’s @aviator doing

I gave up on Jesus when he gave up on me. By the way that time hata sikuwa nakunywa pombe…

Safaricom ilifungua paybill yako.

Niweke?

Weka, it’s a season for giving:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D

Wapi rink

:D:D:Dumerudi kama umekunja mkia

takataka beta chieth

I doubt that was you…

Huyo sio wewe. Ulijiexpose ile time ya mazishi ya student wa Daystar, langata cemetery.

Is he old? Anapush hii title ya guka sana

Ako late 50’s

He must be pushing hii ya YouTube to deflect from hio ya Daystar basi. Ya Daystar iko wapi

Pole Sana Guka. You always inspired me here on ktalk with your insightful threads. Kuja Amar bar nikununulie whitecap

waaa ok that is a story