This is Guka - Hacienda

Nimekuja huku Oloitikooshi kuangalia hacienda fulani.

Sasa nakata kiuu hapa Farmers Resort na Wamaasai fulani.

Kama uko area kuja tuangushe keg.

Life is good right here. Ferk Niagara…

@Kagu Hacienda ni nini?

Sasa hatutakaa na amani juu kanjo ilikulipa?

Handa ithigi kuo alafu use na effidense.

Kufa ghassia uwache kutusumbua

Painting the country red !
Life is good .

Weka picha ya io hacienda…

kimbia hapa Orly Airpark, i give you a lift back

uko ni area 51.

[ATTACH=full]257755[/ATTACH]

Halafu my turbo charged four-wheel drive Wingroad with power-steering ijilete? Serre!

2.8 mil itaenda hivyo urudi kuomba Balozi.

Kwani iko nini? ama haijui nyumbani :D:D:D:D

Guka ukipata tupesa unakuaga na fujo sana

Saa hii umepea Yoghurt, ndizi na Uhuru Gardens a wide berth. :smiley:

Early man leo huweki paybill No?

Wachana na mapombe, Mzee! I thought ungekua ukizungumzia kuhusu ngerima na mbaru cia harika za waMaasai! Ruitugitu ukitafuta vizuri unapata hata kienyeji(mataha) cooked with mbembe njua, njahi na nyeni cia kahurura! Unateremsha na kiringa gia thubu!

Na ukule Ka nyama choma Ka dopper

Sunday tupatane kahuruko pesa ikiisha

Ata picha ya punda kwa hacienda hakuna?