This has to be some sort of record...Nimepandishwa Cheo

It took just 2 weeks for villagers to say am worthy of the title “Village Elder”. Nimeshukuru wakubwa :slight_smile:

On that topic I remember kijiji ilikataa kupandisha @under23 to Elder status for more than a year :D:D:D

[ATTACH=full]201857[/ATTACH]

Huyu ni multihandler, unajipa likes using 15 others halafu unapanda cheo in seconds.

Hii ni pure wivu. Niwekwe Hall of fame buana.

touché

[ATTACH=full]201859[/ATTACH]

Sawa, sasa enda ambia landlord hulipi nyumba tena umekuwa village elder.

Facts. As we speak am actually drafting a demand letter to the landlord informing him nikuwe nalipwa rent henceforth :D:D

Kojoa kwa mlango ya ofisi ya muhindi ju we ni village elder sasa

nimedhania ni kwa job muindi amekupandisha cheo

Admin kwani @Panyaste alikula block ndio akafungua hii handle?

Bingwa Group of Handles holds that record. Sorry… No Hall of Fame for you…

It means you are idle and ukiamka objective yako is fishing for ktalk likes

NV chieth bado una feel vibaya I called you a bad con man?