As they say : Ujaluo ni gharama
@mukuna thread ulilock. But niko sure umepata good advice from kina @Luther12, @Purr_27 etc. Na hata kina @Jirani na kadhalika, ukisoma comments zao beyond the upuzi na ufala wao kuna meseji wanatuma. Mimi I can help pia(hauitaji tiba za kienyeji kwa sasa).
For now; skiza hiyo na jipe moyo kaka.
Mi Nizikwe na Simu ikiwa logged in ktalk nicheki nani bado anachesewo:D:D:D