Agree to be seen like this during your matanga (viewing body) ama u prefer the traditional open casket.
But these akataz jo.
[ATTACH=full]63255[/ATTACH]
Agree to be seen like this during your matanga (viewing body) ama u prefer the traditional open casket.
But these akataz jo.
[ATTACH=full]63255[/ATTACH]
You are DEAD…does it matter?
wewe ukienda mangata ya beshte wako ukute wameweka body yake hii design will u be comfortable?
cc.
labda alikuwa chairman wa kawasaki sacco hizo pande. Hakuna haja ya kuvalisha mwili suti na msee hakuwai vaa suti in life
I think I should swear an affidavit giving express instructions on how I should buried… Ndethe. Nifunikwe na sada halafu wakati wa kuniplant watoe sada. After undertaker ashang’oa sada anifunike na mchanga halafu waje wafanye hizo rites za family kurusha ash to ashes…
how now can one rest in peace that way:D
Sada ndo nn?
I always wish to be cremated. Damn!! This shiet of…
me too ex-bae- what a coincidence
Sufifer, ucoast utakuua. Sada ni nini?
There are south american cultures that practise this … they have weird wake ceremonies from this to having them do small movements… kuna vida na pics mob wacha nitaweka rinks in a few
Hiyo English. Exe yake imecrash.
Piece of clothing used to wrap a dead body…used in Muslim burials
http://www.mirror.co.uk/news/weird-news/13-strangest-funerals-corpse-attended-7543768
but still cant narrow it down yet which country has this as a norm. Chille keeps comming up in my head na sinatime ya gungor saa hii but this was highlighted last year. I just cant rem which country.Okay Puerto Rico seems to be … but not sure niko busy kiasi
Iko sawa kabisa
Fixed. Tayari sanda yangu iko ready.
this is soo stupid n silly
HataOTE=“Chloe, post: 664159, member: 736”]I always wish to be cremated. Damn!! This shiet of…
[/QUOTE]
Hata Mimi hii tabia ya walunje kuja kula kwa boma ya mutu wiki moja huwa hainifurahishi.
Thanks. Shida ya kuwa shine eye