things

ni vitu gani we hufanya watu wengine huona kama si kawaida?

i find it hard kulala kama sijajifunika mpaka kichwa yote ndani ya blanketi…ata kulala nikiangalia juu sipendi.

nawekanga sukari vijiko nne kwa chai…wen no one anangalia off course:D:D

5 Likes

Jeez spoons nne yawa kwani kikombe ni size gani?

Kujikuna makende

4 Likes

Pulling out my beard there’s a time I pulled my moustache kujiangalia kwa kioo nilikuwa kama hitler

4 Likes

You have trichotillomania.

I can’t eat food without water and I also take books and magazines to the toilet.

4 Likes

any kikombe …ni addiction

I suffocate when I do that.

1 Like

kuseparate nyanya kutoka kwa food when eating…fuckin hate cooked tomatoes

1 Like

poking the nose kila siku kwa mat, alafu nakula

1 Like

Mosquito zikinisumbua sana najifunika kifudi fudi

na ukishuta usiku huko ndani

4 Likes

siwezi nimezoea

1 Like

Hehehehe tuko wengi bro. Mimi hutoa plus vitunguu mbele ya watu you got a problem with that go jump over a cliff. My mum aliniongelesha akachoka

1 Like

for me its the opposite. I have a phobia of covering my head when sleeping hata kuwe na baridi aje. Naogopanga i might ran out of oxygen huko ndani ya blanketi and die slowly in my sleep

4 Likes

With me lazma niache shimo ya hewa.

3 Likes

and when do you resurrect? Look, a miracle man…

:D:D:D:D:D

@xuma unahitajika hapa

1 Like

“Suffocate” infers several meanings. When it comes to English grammar, I can take you to school right now.

mbu waliniumiza siku mingi nikiwa kuria na bungoma mpaka nikazoea kujifunika kila mahali isipokuwa pua pekee…