Things we do for love... Nimecheka leo

Siyo kubwa lakini siyo ndogo venye inakaa from outside.
Kila mlango unaona hapo represents a two bedroom house. Sitting room and kitchen , lounge downstairs and two bedrooms plus a bathroom upstairs.
I’m not an architect lakini iko vile wazungu hufanya uchawi na space.
Hizi nyumba na zile za Mugoya pale South B ni the same size ndani!..

Na kunanyesha kila siku buda.

Nairobi mvua ya siku mbili kila MTU na gumboots!..

Kwa hivyo hakuna vumbi huko na mamchanga zile za rough road?

Ka-buda…what about me coming to stay for 2 weeks? my flat still stinks and keeping the windows open invites pollen? Noogle eno

Lol

Mazee I promise to make chapos and ndengus every day. The aroma that will be hitting him akiingia kwa mlango in the early hrs…wacha tu

This is a very busy street and the proof is the yellow line on the road.
It means that you cannot park your car on that road. The trees at the back of the houses indicate that there are big gardens to the rear of each property and that’s where the residents park their cars.
If they are Kenyans, they extend their houses and convert them from two to four bedroom houses!..(with planning permission obviously!)… Kikikikkkk

Unajua effspot na doug demuro? cc @123tokambio

Kikikikkkk… Ata Mimi naonea hizo mawe huruma!.. They most probably will be coming down sooner than they can dry up!.. kikikikkkk…
Ni zile za …" Hun, if you love me so much,why is the wall still up?!"… Kikikikkkk…

Usijali.Inaitwa ku hustle.

:smiley: bila kumsahau Chris Fix

Huyu chris fix anafanya kazi gani?Sijawahi ona huyo.

Huko uk kuna vumbi na mchanga mchanga kama hizi za rough road za huku kenya.Kwa sababu naonanga kukiwa green kwa tv.Kabuda ame shindwa kunijibu.

No hakuna vumbi na hakuna blackouts kwa hivyo nitakaa huku. Achana na KB

:smiley:

Hi Pretty face!
Ulinyamaza Sana… Story za wedding etc…
Rehe uhoro!

And like I needed to remind you, … I’ll always be here if you need moral or Mboro support.

All the best sunshine.

Lol! What about us humans?

Do some of the rooms require A.C and artificial lighting mchana?

We make believe that it’s real and get ourselves fucked… Literally.

Ni watu flani napenda kuona video zao youtube za magari.Nilidhani unaeza kua majirani na mmoja wao.