Things i hate..

I hate people who sing along a song,then,even worse unapata the meffi ina sauti mbovu!!.. i prefer listening to a song the way the artist intended it to be heard…

6 Likes

wewe ushaskia wimbo za afro musica? wacha tu…

@Afro uko na umama mob , kwanza mimi nikilewa huimba wimbo kama zote na saa hizo sijui lyrics kwanza hii song

https://www.youtube.com/watch?v=DWyiC2CBtyI

5 Likes

Only drunk people are allowed to sing along to songs.

Sober men who sing along = gay

3 Likes

Worse still, singing wrong lyrics loudly.
1996, Form 3, closing day. Kuna bus ilikuwa inaitwa Shaggy plying Kisumu - Nairobi route.
Madem kadhaa wa Ahero Girls get in.
One particularly dense one starts singing along to Bob Marley… Ati “Buffalo Shoulder”. I gave her a mental RKO.

12 Likes

GAYYYYYYYYYYYY ,

dem mrembo ata aki imba kipokot mimi nam cheer on

7 Likes

Wacha ata sing along…mimi hulip sync hadi popular movie lines and quotes

1 Like

Wankle unakuwanga ng’ombe saidi.

3 Likes

hehehe quadrey badala ukatie dem ubaki umempiga finger u sniff utamu mpaka nairobi unaanza kumtoa rangi

1 Like

Hehehe.
Alimaliza kuimba akanipatia address PO BOX 6.

Ongeza zile nugu mkiwatch sinema zinaanza kuuliza “ati amesema nini” na kurewind rewind

7 Likes

Yo what about those shower momments hewa imeshika siwezi let my mangina calm down ,leo ilikuwa puff puff tue and so morning sesh kwa bafu ilibamba na hii track

niliimba bila kujua lyrics,n btw nilibaniwa choir sikuweza enda trip ya music kuz ya vile mii huchapa kuimba but was a dope ass rapper and lyricist na siringi.
Btw this track nimeskia leo na imenibamba…

I hate anyone who dares talk to me when am reading.

2 Likes

hata kwa shower?

leo hii kijiji iko na ma-issues mingi useless sana

4 Likes

boss kwa movie kuna kuwanga na scenes zingine especially za hand to hand combat kama za Jason Statham mimi mtu akiwatch na mimi hu repeat mara kama nne

2 Likes

i hate Rhino Kubwa matches…two thirds of them do not ignite…

2 Likes

sinq habari…I’ve never been a soccer fan

:D:D

Niaje Bespoke Luminescence. Ochieng anaendeleaje? Umeskia hizo National Schools original mamono wanafunguliwa boot?

2 Likes