1 Like
Wakenya huwa very wise kabla elections, siku ya kupiga kura medulla oblongata zina enda strike…wanaanza story ya mutu yetu…
5 Likes
utakua unaangalia mfuko unaamka kupiga kura Jambass aende nyumbani
2 Likes