THIKA RESIDENTS ARE LUCKY - vipindire

https://x.com/Wanjiru2027/status/1931624840785477790

4 Likes

Huu upuzi unafaa kuwekwa kikomo. Next week zitabebwa hadi kisumu…

5 Likes

@Yuletapeli Jana nikitoka Kula nyama kiamaiko nilipita hapo rounder mahali pool table hutengenezewa. I saw poster of that whore being placed on pool tables for kampein.

6 Likes

Kwa hivo niza ukweli. Kiamaich ulikuwa umeenda ile baze ya gathufu ya wambo ama..

Umenikumbusha kiamaich kuna hii baze ya hii mali

2 Likes

Yes but huwa sikuli mutura.

5 Likes

Any reason why?

1 Like

Handouts only brainwash tugeges. Meffi

.. kuna base nilikula motuch moja swafi hadi wa leo sijai recover. Ilikuwa tamu ajab.

Because of @Wakameat ? Ask him

Mbona unakataa udder na placenta mix

4 Likes

Hizo mutura huwa zile foetus hukuwa kwa dead cows. I won’t touch it. Inakuwa minced Una uziwa kama much!

2 Likes