Thika prison

Sometime back I remember nacheka tu!!!

Kuna this ninja of ours who was imprisoned for 6 months happy thika main prison …iko next to THIKA General hospital…

Alishikiwa kea klub flani famous Makongeni wakiwa wamecause frakas , mzae wake akadinda kumtolea bail ya 50k , mjamaa ikawa akule maharagwe miezi sita…

So Mimi NI Arif flani tukacheki Kuna zile visiting ours situkaamua wacha twende tukaone mraiya Kama tayari ashachunishwa sukuma , tukijua vile tutasmuggle mafegii…

Kufika kwa gate Kwanza Kuna maswali , ooooh mnataka kuona Nani , ooooooh umadafaka mob tu… Then was like
"Leteni ID zenyu , ariff zangu wakatoa , Mimi nikatoa ka photo copy ka ID… hehehehe …yule Askari jela akaanza zake …

“Kijana hii NI Nini ?” He asked

“Si NI kitambulisho mkubwa” I replied …

Nikacheki ameinama hapo chini amechukua fimbo flani …

"Nakwambia nikifunga macho nifungue , nisikuone hapa " he said

Mraiya nakwambia , mbio nilitoka hapo waaaaaaah , hata hiyo copy ya ID sijawai endea Hadi wa leo …

ungemwambia I KNOW MY RIGHTS !

Ungetoa photocopy coloured na ufanye lamination

Ilikuwa black n white karatasi tu

Hiyo ni mbaya

:smiley: Hii ni hekaya ya muguka base.