Thief caught after stealing phone near KU

1 Like

Huyu @johntez_addi_gaza_ms ametandikwa kama burukenge

4 Likes

mbona hajafanyiwa jaw realignment proper.

meffi hao jamaa kazi ni picha tu bila kumaliza job

2 Likes

Wacha atandikwe proper. Hawa wasee wamefanya hio area yote kutoka stage ya Kahawa hadi roundabout ya bypass playground yao. Hauezi ongea na simu ama ubebe handbag. Inabidi itafute jacket iko na pocket ya ndani kama unapiganga shughuli hizo area.

1 Like

ARRGH!!, wangechoma hii takataka, mimi mtu aliniibia my cheap OPPO telephone na vile nilikuwa nimefikisha game fulani level fulani…iliniuma sana.

6 Likes

Tunajua ulikua umesave Japan ladyboy porno in 4k

2 Likes

Zi ilikuwa dream league

Untitled

Kumbe tuko wengi! Samsung yangu illibiwa kama niko division 2 ya hii game bana iliniuma sana. Halafu juzi nmechukua ligi only to be denied promotion juu i had eliminated at group satges in other cups. Sahii nacheza exhibition matches kwanza as i recover

3 Likes

Niko legendary division, I have won all the competition, nilifika ultimate challenge hapo nikatandikwa 3-1.

Shida ya hii game ni kama hauna net ama bundles huwezi cheza labda ucheze exhibition matches. Game safi sana

Shida ya exhibition inakupea false hope. Unatandika team virahisi halafu mkienda Global cup unapatana ta AC Roma wanakuosha nne

1 Like

Imefika pahali that these guys dont care that if they are caught watapigwa vibaya and even wachomwe.

Nikona players wakona ratings above 80. Alafu nacheza na system ya 4-3-3 ama 4-2-2 ama 4-3-2-1. Ball possession huwa more than 70 na bao mbili au moja. Nachezesha team design ya guardiola. Tikitaka.

1 Like

Team building wameniangusha. Jamaa anafaa kuwa mapengo na kichwa imefura kama malenge

1 Like

Hilo sikio lake la kushoto laonekana kama bulb onion.
A fair job done.

They should have killed this baboon or even decapitate his arms

Wangeuwa hii umbwa.

Hio maskio wasee wa UFC huwa tunaita cauliflower.

Mwizi na university in one sentence is a show of how far comrades have fallen. Alafu mtu anasema that’s their playground. How na, how??? In my years campus thieves were campus thieves, no one dared cross a comrade in the vicinity of a university unless they were looking for the 1001 way to die.

3 Likes

Comrades siku hizi vita zenye wanajua niza kwa ma bar za keg na wines and spirits.

Those days wezi walikuwa na heshima. They feared unis more than police stations.

Malisaa
Screenshot_2023-07-05-05-49-46-26

2 Likes