They fleeced Usain Bolt more than $12m

It was a investment fund in Jamaica, just like Diamond Trust in Kenya. He deposited $12m ( ksh 1.5B) 10 years ago and it disappeared over the last one year. A employee did the necessary.

A lawyer for Usain Bolt said on Wednesday that more than $12.7m is missing from his account with a private investment firm in Jamaica.
Linton P Gordon, a lawyer for Bolt, provided the Associated Press with a copy of a letter sent to Stocks & Securities Limited demanding that the money be returned. Gordon said the Olympic champion’s account once had $12.8m but now reflects a balance of only $12,000.

https://amp.theguardian.com/sport/2023/jan/18/usain-bolt-missing-money-investment-account-jamaica

inaeleweka na inakubalika.

Umekaaaaaa hivi fuaaaaaa ukahara ukadunga ukanusa uvundo ukakuambia wewe ndiwe wa kwanza na hii muhahe yako yooooooooooote kuleta hizi news?

inakaa hiyo firm ilijaribu kuchezea crypto wakachomeka vilivyo. bolt ni collateral maanake ukaangalia portfolio yao yote labda walipoteza kiasi kikubwa kweli.

Every crook and hustler will appear from nowhere when you have this kind of cash

Turushie news basi ata wewe once in a while.

The main culprit was a woman money manager. Apparently she’s even admitting. Reminds me of a thread somewhere a guy was trying build. Aka rushia architect 4m to start the project. Next time he visits the architects office, he has a shiny bmw parked outside.

Kwani mtu ni mjinga aje? Unapeana aje 4M ujengewe nyumba. Kujenga nyumba is an important process that needs you to be around 24/7 from that 1st day you are breaking ground to the last day the house will be done. Watu wanaibiwa juu ya laziness nyingi.

Unajua hao foreman hawatakangi ukue kwa property during construction. Anyway the architect was a classmate/friend. If you’ve never done a construction, it’s quite an experience. Many would rather urushie mjamaa and he handles everything. Wewe tuu ni kutokea mara kwa mara na kuona progress. But being involved in details Ati window pane ni 1.75m by 2m, is very uncomfortable for many.

Hawataki ukue ndo wakuibie. Simiti zilitumika mifuko 15 foreman anasema walitumia mifuko 20. Hizo mifuko 5 anakuibia. Piga hesabu 650×5 = 3250. Iyo ni pesa ungelipa nayo mafundi. Pia mawe na kokoto foreman wanaiba kweli kweli. Alafu kwa dunia mtu usiwai amini ni rafiki yako. Uyo ndo atakuibia. Siku hizi mtu hukuibia si stranger ni huyo rafiki yako umamwamini waswahili walisema rafiki yako ndiye adui yako.

The reason nasema lazima uwe around nyumba ikijengwa is because shoddy work maybe done and it will end up costing you money to rectify it or even mess up with structural integrity of the house. Hapo kwa window pane inahitaji minimal involvement. Jamaa wa vioo anakuja anapima mnapiga hesabu ya pesa itahitajika kuzinunua, materials zitahitajika kama putty na mshahara ya mwenye ataziweka. Huko kwingine hauko involved. Degree niko nayo mkuu.

Blocked. Umbwa

Samehea baruya samiyu