These are the skunks boyshaod has to marry.

Dem amelewa hadi msee wa nduthi anaita msee amshikilie hadi home
https://scontent.fnbo4-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/42998122_533646033726727_3623222157363904512_n.jpg?_nc_cat=107&_nc_eui2=AeGZLMGd9d3y9ylrv0gKxCvgtdrEsSF02RQuI7kw-sbkdVOVjXOboSiApkrFq2Q2by52qh2PkrZgGG263AJSQL5l8mxvt_EwSpp8D-jF9wDrQQ&oh=391dbe4619e878454fe92ea5ecefa9e8&oe=5C5F464D

https://scontent.fnbo4-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/42827294_533646077060056_2523814450616598528_n.jpg?_nc_cat=103&_nc_eui2=AeFQrJ_vjTx7WDSiCJVWAtvs27HXCuwxKquq5k7IIexre0REBVISdw1g3vciI3hXvmGNsURS24bnEbyx8nQMDT0MuzeColcoFfkDLqKVl7bjeg&oh=03c8d348154575bd1cce83afafbf9286&oe=5C1AD44C

Bure kabisa.

On whose behalf are you speaking? Don’t include me in these “boyshild” who marry such trush. My vetting for marriage huwa strict sana.

kwani umeoa mara ngapi?

hahahaaaa…

Alafu ukimkatia akuletee story za standards

i can’t help thinking about how those ninjas wanaweza mpeleka mahali wajisaidie…

Uwongo, hapa si kenya

Lazima kalichunishwa skuma:D

0 times. I think that speaks for itself on how strict and air tight my vetting is :smiley:

Kwani umevuta bhangi au?

Sawa tuambie ni wapi.

Hata Mimi nimeshindwa how many times he has married.

chokosh ameangukia slay queen

It is sad when you think of it. Yet some girls in campo walifanyiwa the same thing kama wamelewa na hawajielewi.

huyo ni usingizi tu aliamkanga hii tulishaona btw

Long time ago nilikuwa naishi pale juja kuna time kitu 12:30 usiku nimetoka roysa so natembea kwa road solo kufika karibu na gate c nikapata dem flani ako kitu 6.5/10 wasee wa nduthi wanamharass juu alikuwa mlevi. Dem kunicheki she begged for help ilibidi nimechapia wasee wa nduthi wacheze chini nikawapea 200… Took the girl kejani nikamlaza kwa sofa akadoz.

Na ukamdinya,nani hajui

Umesahau kusema ulimferk

Seems huyo mtu wa nduthi knows the girl. So he requested the gangsta looking guy amshikilie asianguke nduthi ikisonga.