Hawa waarabu hawataki mchezo. Leo asubuhi mboyz wangu ameshikwa na veve pale Dubai airport akitoka mtaani. Kucheck out, wakapiga random search akapatikana ameficha sarba moja kwa socks. Wadosi walipigiwa phone na watu wa customs and there is nothing they can do about it. Reality ni 10 years ndani ya net. Waah!
Ju ya veve tu???
Kanguruwe bado unatafuna matawi kama mbuzi?
…kush sarba ndio nini?
Wtf! That’s quite a punishment damn! Sasa kama the guy knew what the penalty is why gamble for a few hours high? Ujinga ni kipawa.
anajua vizuri akishikwa ni noma and he still goes ahead…
Alikula matawi ya mbuzi mpaka akaanza kufikiria kama kondoo. Lakini niliskia hizo jela za huko ati unapewa burgers, kuna sijui dstv, sijui butler…so after hizo 10 years anaeza toka ka amenona saaaaana.
When he was doing knowing the risks too well, am sure he was chest thumping vile yeye ni “El Chapo” saa hii ameshikwa he will switch to “serikali saidia” mode. Iwe funzo.
Tht is a bit harsh. Na bhangi je?
Kush natafuta mtu ako Marina…
tumesema mara mingi matawi achia mbuzi!
Really?
Just checked with wajuaji fulani and they say akiwa na bahati ni 4 years but normally ni miaka 10
Niongeleshe visuri nikupigishe tour huko … bora ule mzee asijue
Kwani Miraa is also banned in the middle east ama ni Dubai tuu?
The only place miraa iko legal is Yemen. All the other countries its a prohibited drug. Nafeel huyo mboyz but what to do …
Kama boy ni mungich then T.O.J
OK on a serious note… Hakuna vile mnaweza shikana wakenya mtafutie lawyer wa pawa. Anaweza sema hio veve alisettiwa na maboyz Kenya… He was not aware iko apo
arabs reasoning yao iko down tu sana. Wao hujiona superior kwa africans. Si maajabu hao wasee unasema waende kuintervene wabaki ndani
Alisetiwa na maboyz wakamwekea kwa socks? Kwa bag sawa, lakini socks hapo hakuna kijitetea… Mimi nilikuwa naseti kwa magwada, kama kilo moja, soldier wa immigration anashindwa vyenye huyu mwafrika amebeba gwada kama ya punda.
kwa socks?