There's Never a Dull Moment In Kenya


Yaani hizi ninja baada ya kutolewa msituni zmepewa food zkapata nguvu zikaona sasa ni “wrestling”…:joy::joy:

2 Likes

Zinaitwa primal instincts

1 Like

Kitu inaitwa Maslow’s hierarchy of needs. Physiologic/biological, security then sex in that order

3 Likes

1 Like

@cortedivoire kimbia shakahola, huko bei ni zero

1 Like

Thought they wanted to die ?
Any way let them procreate and then perish