[MEDIA=twitter]1633833050151993345[/MEDIA]
Wanaume wengine huwa na upuzi saana… two women what for… Double headache… all that sneaking, creeping.
Finding out when he’s alive is different and worse.
Nakubaliana na wewe kabisa
Polygamy has been practiced by our ancestors for centuries. Hii maneno ya 1 man, one wife ililetwa na wazungu.
Lakini bibi wako wanafaa kujua ukona bibi mwengine. If you’re a birrionare, women can tolerate anything.
Shida ni nugu inajificha iki panda mbegu, resources are limited as it is… akikufa kunakuwa na chaos. very stupid men who do this.