"There was a coup in Ukraine early this morning lead by..."

" … President Zelenskey was shot in the head by forces allied to…"

[MEDIA=twitter]1487088107623272454[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1487081666145402893[/MEDIA]

Warmonger. Military industrial complex imekosa kazi

US are always ready for a non existent war. Ni kama wanaumwa sana kitu isipotokea. Sasa hao troops wote wametumwa Ukraine ni wa kazi gani yet President wa Ukraine amedai hakuna ngori. Hawa US si pia ndo walikuwa wamekimbilia Taiwan kueka troops. They always itch fkr something to happen. Wakati Crimea ilikuwa annexed walikuwa wapi??

Anyway Ukraine itakuwa annexed ikifuatiliwa na Taiwan na watabaki wamepiga kelele na kueka sanctions tu. I mean a war with China and Russia isnt good for Biden at the moment.