The Youth Don’t Deserve Jobs

[ATTACH=full]238647[/ATTACH]

This is a typical Kenyan youth:

[ol]
[li]Anatarmac akilia Hana job …or job anayo hata si job …eti na amesoma (sic)[/li][li]Anaonekaniwa anapewa job[/li][li]Anaanza kuonyeshana vile amesoma than the rest of y’all …yet degree yake ni hizi bure za 2000s …worse ya universities za Thika road …anasahau vile degree zetu za 1990s ni fire base[/li][li]Anaanza kukatiana left right center kwa ofisi …anasahau alipata wanaume kwa hiyo ofisi …anasahau pesa tulitafuta kitambo zake bado mbichi kwanza amalize kufurnish hao …sisi we are so past that[/li][li]Kidogo kidogo eti anaanza kuonyesha vile dressing I naweza kuwa fresh. Kijana hii ni ofisi si kwa nyanyako[/li][li]KIDOGO KIDOGO ANAKUJA LATE LATE MACHO NYANYA BREATH YA MAKALI[/li][li]KIDOGO KIDOGO ANAANZA KUDISCUSS KAZI ONLINE KA MAMA …ANAMWAGA SECRETS ZA JOB NA NDIO AMEKAA WEEKS TU HAPO[/li][/ol]

SMH

PS. UKiona umepewa like na jamaa wa matissue Jua tu umetumia mdomo wako ka mcoondu

You think you are smart but you are not. No wonder corruption is deeply rooted juu you just go with the flow.

we like whistleblowers

I thought you dont critisize a fellow “Arab”

I am pro-government

What’s your salary scale to be able to afford a Navarra and a Ford Ranger (no judging the condition, we take your word for it)?

I consult on the side …lecture too

I have camels too

I come from a large family with many females …I have therefore benefited from generous awards of gabat

By degree za thika road unasema nini. Meffi sanna