The wajinga nyinyi part 4 is out what is (video) opinion about it

https://www.youtube.com/watch?v=IPgkf2lZ-Ek

This guy should watch out lest he is finished by these despots he is attacking.

Finish that shineye drunkard. Mtoto ya guok.

:D:D:D Mistari ni khali kushinda ya orijino ya kaka…but ata tulie aje ,hakuna kitu tunafanya kama hatuendi kwa streets. tutatoa hadi part 100 with the mofos still in office.

sisi ndo tumewaweka hapo

2022 utaskia tu hao watu tunasema watoke tutasema tu “x tosha”.

Kuenda streets haiezi fanyika overnight, but the message inafikia watu wengi zaidi especially the gengetone generation, in a language they can understand.
Tuki maintain hii momentum, 2022 tutaenda kula mogoka na ku camp uhuru park mpaka ifanyike vile tunataka, regime change, social reforms, etc.

wish the young arists will maintain the same till then

Kama Joho mzima alizimwa na story za Mombasa to secede, who are these mofos singing? Wataona bank balance ya 8 figures kwa account zao watulie kama maji ya mtungi

It doesnt matter how many sequels will come out.
Just visit any Kenyan political page and see how narrow minded guys are.

“Mtu wetu” syndrome is flowing deep in our veins. Ad hominems hapo kwa responses.

Sa tudu aje? Si tuunde committee ya kupanga hii maneno?!