The viral phone snatching video was manipulated.

[ATTACH=full]373222[/ATTACH]

Polisi nafikiri sisi ni nugu

Post the original video, or highlight where it was manipulated ?

:smiley: kweli kweli hiyo service imejaa D-

Wako na ujinga sana. Hawajui most experts wa photokiosk ni civillians. Actually difference ya Kenyan civilian na cops is that the cops has guns.

[ATTACH=full]373238[/ATTACH]
Nairobi is safe with zero muggings, says Kenya police.

Burying the head in the sand

Polisii wa Kenya ni failures. Ni watu wa E- hata si D-

Siku hizi ukipigwa ngeta tao unatafuta wezi wengine wakugetie vitu zako,atleast hawatakulipisha nyingi ka kenya polis with their zero outcome

Ukipigwa video ambayo haikubambi unasema it is manipulated. Mukhisa Kituyi was also here akibeba watu ujinga.

Hata Democrats wanasema any videos of Antifa are fake news, manipulated video. So nothing new really.

It seems Kenya police don’t want to appear WEAK or VULNERABLE. Mmezoea hadi kuchapa police ngumi huko thika road

Utaona wakisema ata mtu akiibiwa tao inakuwanga manipulated theft. Mtu akimadwa its a manipulated death. Shenz type.

“of a police officer being snatched a phone” …hii ni handwriting ya @pamba …shenji kabisa.

Democrats ama republicans?;):wink:

i hope this is fake.

Niaje Patricia, how was Siberia?

Wanafuata script ya Mukhisa:D:D