The Truth

Mombasa leads when it comes to value for money on houses, flats. Well ventilated. Secure. Tudor. Kizingo, Nyali, kila mahali. Nairobi iko nyuma zaidi.

Sasa tukusaidie aje ngombe mteso

Sema pesa yako haitoshi Nairobi

mnafaa mkuje mpunge upepo mwanana hapa baharini wiki moja ivi.

Wajua the developers are different down at the coast, si wachoyo like Nairobi developers.

Planted

@sani saidia Mimi kusoma Hilo jina tudor.

unaeza sema chuda hawatajua hujui