The time I almost became step-father of two.

:D:D:D alikuwa kadem nakumbuka kuna a client wangu mmoja aliniambia huyo bibi yako ni mdogo nikamsho; she’s past 18. Hii ilkuwa in 2014. Nimemweka fiti. Nilisema siwezi oa msichana malaya ati wa university. I spent 6 good years nikisoma kwa bidii alafu niokote kunguru imekula raha, siwezi na siwezi, I’d rather die. Na mimi huwa na swear na nikisema nimesema. Nakumbuka kuna dem nilikuwa najibamba nayeye tukiwa campus first year akanisho akona mtoi home nilijipa shughuli

Nijenge sister yake

Huyo atakusumbua akili kweli kweli

Tunavunja mguu akae nyumbani.

Lete number mdau

The govt only employs approximately 1 million Kenyans. Hao wengine unafikiria wanatoanga wapi riziki yao?

That’s not the issue. Mbona ulifutwa kazi?

It is on record that I quit after kusoma game nikaona nabebwa malenge.

Ameshinda wengi wale wanamrushia nduano, atakukulia marupurupu ajiondoe

Nilikuwa nangoja tackle moto moto :D:D:D. Good for you for hacking it out in the private sector. I tried being a mkulima mdogo as a pathway towards self employment Uhuru and his taxes gave me a technical knock out

Ulirudi 8-5?

Sadly, yes. My side hustle was booming but the handshake pushed the economy to a tail spin. I’m not blaming the handshake per se. But the cost of raw materials took a hard hit. I will try a comeback this year.

Dont kick yourself. Man must live. If you still desire to be a master unaweza jaribu tena but hold out a bit mambo yarudi sambamba. Saa hii siwezi recommend anyone to jump into the deep end. Entrepreneurs tunaumia ni vile tumezoea jua kali.

Uyu alitaka ujue haumkuli bila conditions, wewe ukwogopa. Unakula na kumghost