one learned his trade through apprenticeship cause ametoka kutoka kwa familia ya construction workers na SAA hii anapandisha 9 kiserian,while the other one is bald fella plying his trade of kuchokora kifikifi in kuwinda slums while regaling his attentive fellow drunkards with old housewives tales ndio wamukeep company
@Randy meffi…kuja hapa
the only Artchitect tunatambua ni @Randy , introvert ni jamaa alisomea soil injiniaring
Ulikamua Akinyi wankle?
another one huchora nyumba kwa gazeti za kufunga nyama alafu anaambia Quantity Surveyors wasikaribie site liwe liwalo nyumba itaamka
Liwe liwalo ile sweep ulipigwa inawasha bado
Hiyo sweep ilikuwa true hadi umefungua thread
kwani alisemaje?
Wakamasi, katafute roadkill.
[ATTACH=full]239847[/ATTACH]
You meant " one learnt"
Acowntant unasumbua
:D:D:D:D:D… murio what is?
Nadai mabati za hoarding uko nazo?
ngapi baba?Niko na antique tiles 15cms by 15cms made in England, limited pcs available, Mali safi za wakati tiles were tiles na not every tom and dick could afford them
eh! hio sasa
Syke…!! nilikua nalijua ukisikia biashara utachangmka .
Jaro soja nikii?
Leta link?
Is this the work of Matumbo Investigators Agency or what?
yeah,one arm of waka conglomerate, we also deal with second hand goods,Niko na power saw original husqvarna ,price negotiable