The sambusa though

Angusha recipe ya kupika hiyo sambusa…

Mazee Kush nimeclick nikaona ni one hour na ako solo na ni slay. No dhenks:D

Thas why nlisema hapo ju kama uko kwa ofisi … kwa ufupi kama unatumia free wifi

re-send 'sil vous plait,sioni kitu chief,niko hapa abdul land so sijui kama ni restrictions za ngono zile mi husikia?

Fungua fb utafute kunguru inaitwa Sue gacambi, check kwa videos zake utaipata … forward clip to ile part anabonga ju ya Akothee upate uhondo.

kitu swafii siwesmind , shimo mbaya ni ya nyoka

Niaje ankle …