The rise and rise of a Mzito pale Ktalk footie prediction center

Mzito amepanda vimeja kwa ranking…tells u how bright he is ki-akili…mtu PHD hivi

Alikuwa namba 37 apa
[ATTACH=full]25460[/ATTACH]
Akapanda hadi No.29 the following week
[ATTACH=full]25461[/ATTACH]
Currently amepanda hadi No.26…leo atafika top20…niambieni kama hio si uzito wakubwa
[ATTACH=full]25462[/ATTACH]

Congratulations.

corn grass

asanteni lakini wengine kama uyo jamaa mrefu najua ni uwivu

Wivu gani na sijali juu ya ball. I only hate your tribalist part.

@vuja de pacesetter umeanza kuchoka?

Xmas imenilemea. Nimekuwa nikiweka predictions while drunk ama hangover-ed

mimi pia nilitoka far started predicting on the third week n im still climbing i boast the least valuated points among the “bigfishes”

its a looong holiday endelea tu, alafu @Okiya ata honeymoon bado anapredict

It’s getting tougher and tougher and more unpredictable.

Upuss