Travelled to ocha for the weekend early today and kawaida meeting the guys up I asked the first, unaendelea aje? Nilipewa masaibu anayopitia na bibi anataka kumwacha na mtoto hana chakula and ended up giving him 500, another guy ended up giving me hekaya of how his relative has passed on and are fund raising for the burial. Sitawahi uliza watu wa ocha “unaendelea aje” Na majamaa wa shamba have the highest turn over rate IoN @Nefertities nimekumiss
PEASANT!!!
Sijawahi sema mimi ni mbirrionare
tuma 3k
Sawasawa nipe number
sina simu. si uninunurie?
Ulikuwa unataka nikutumie wapi? Niko mashambani, unataka nikuletee?
Hii story tuliongelea dec… Wewe u were just conned kubali tu roho safi. Ocha bibi ataacha bwana tu akipigwa hizo reasons zingine ni za madem wa Nairobi
You cannot go to ocha and not give guys cash either way, its not cool. Its the reasons they give that are plain silly
This my friend is a nonsense post. That happens everywhere even in kiamaiko where you live rigjt there in nyairofi
inbox number nikutumie 50k
50kg of compost? noooooooooooooo theng you nyau!
the more you insult me,the more i love you
I should now, right?
Hiyo mimi hapana tambua juzi nimeenda mazishi napatana na kamlevi kanakaa wakanyama hivi ( yaani mtu wa mashida shida hivi ) …ananiambia " niaje mzito siku mingi sijakuona naona maisha inakupeleka vizuri huko nairofi hata kitambi imemea…sasa si uniachie kakit…" kabla amalize sentensi anajipata amesalimiwa na 2 hot slaps
Umesahau “na sweep”
You did not have to slap him …you could just have said no. And that you post that shit here with so much pride makes me wonder why you don’t have a "vacant " sign on your forehead .
You will appreciate those guys the day your car gets stuck in mud. Kama hauwachotei kakitu ya kutoa lock, wewe utakipata. If you’re in their good books, they will push it and later wash it clean for no extra cost. Or if you lose a loved one, watamchimbia kaburi roho safi.
Lakini 500 ni mob for one guy. Mimi hubeba tu-fiftes and dish to kitu 10 guys. Wamama unawatembelea na nguo na viatu zile hazitoshei watoto wako. After you leave, story itakua “huyo mtu wa kwetu hata akidosika hananga maringo” for the next two weeks.
@MISCHIEF unaona vile sisi peasants ni wengi
wewe utarogwa mtoto ashindwe masomo ya university, peasant hananga huruma.