The poor and peasants.

Advise to my fellow youths mkiamua,kuoa ama,kuzaa don’t give birth to kids you will later ask the community to organize a fund drive for them to go to school,when you were enjoying you never called anyone to come and join you in the pleasure moment or even to cheer you up while at it.

6 Likes

Mtu hujipanga bfr indulging in such matters…kua mbirrionare kwanza

1 Like

Sasa ulikuwa unataka uitwe watu wakimangana.Nkt!

5 Likes

Nimekuwa nikipayuka hapa juu ya hii mambo lakini watu hawaskii. Unapata mwoman ako jobless na boyfie wake is off and on jobs lakini Unaona wanashika mimba with the mentality that tukizaa mtoto we will hustle harder lakini at the end of the day ni mashida tupu.

Nina Maboyz wengi na mwoman singo mathas pale Kenya nime block pale whatsapp juu tabia yao ilikuwa “jay manze nko down si uniokolee mtoi this that this that blablabla.” At first nilikuwa generous Alafu kidogo nkaona hapana baby boy kwani umekuwa sponsor wa children’s home.

Kitu ilifanya ni wablock lakini si wote is that mtu umesaidia before na si Mara moja ukikosa kum save jus one time anaanza matusi. Moja had the audacity to tell me ati hio Germany ita kudeport tuu siku moja <— mind u this was a singo matha cursing me cz staki kusaidia mtoto wake whose baby daddy hata sijui

9 Likes

Tenda wema nenda zako

tenda wema nenda zako lakini ukiambia mtu budget yako iko tight juu ya bills ana anza matusi nikama mtoto tulizaa nayeye.

3 Likes

Mh! Okey.

Ni noma kuleta mtoi kwa picture and you have scrape by just to pay your bills. It is not fair for the kids.

3 Likes

MNA mambo!

Pole btw hizi siku kuko ivyo i think mtu akikuwishia vibaya kama u extradiktiwe lenga tu huyo mtu hata usiblock number ya simu just ignore kama hii button ya kijiji

1 Like

nlijaribu ku ignore by showing her i have read (blue ticks)✓✓ ile ya Whatsapp but this made her more agigated. So unapata matusi after matusi on a daily basis… i had to block

unafa kuzima app status basi ukae Kama batman unareply but last seen inasoma 12th May

2 Likes

what? explain

[ATTACH=full]52798[/ATTACH]

3 Likes

turn your WhatsApp last seen off

1 Like

Just hide/disable your “last seen” but pia hutawezaona za watu wengine

na ile ujinga ya kufanya harambee ndiyo uoe msichana

1 Like

please copy Courch Potatoe on dis one

That is the reason sinanga haraka ya kuoa…sometimes biz iko poa, sometimes imekauka…so feeding three mouths instead of one is never a wise idea bila stability. Nikifikisha networth ya above 20 million nitafikiria hiyo story…for now, wacha nihustle mdogo mdogo. Nilikam kujua it is much easier to survive hard times ukiwa peke yako and to accumulate wealth ukiwa solo than ukiwa na dame na mtoi…mara mob wasee wakioa huwa wanabaki ile league wako…ligi ndogo…juu expenses zimepanda.

5 Likes

uongo,kwani unaoa nguruwe ambaye kazi ni kula tu? ata kama ni school drop-out mfungulie kibanda na kama ana mtoi anakubebea mfuko ya tools za powersaw ukienda kupasua mbao

5 Likes