The plight of women who are generous to men

Hello mams, I was here the other day, those who can remember story yangu about venye nlikopea bwana pesa nkaanza kukatwa salary yote na yeye akaanza madharau not forgetting nlikua na ball… two weeks ago, nakumbuka it was on Friday usiku, mi sikulala Aki, I started feeling pain kwa tumbo during the day nkaignore Hadi usiku tukalala, mi nlikosa usingizi kabisa coz ya pain, bwana alilala akaniacha nikiscream…so he would wake up and tell me to shut up, I struggled Hadi saa nane usiku when nlianza kutoa discharge Mam’s nliamka nkatoa pantie n what followed niliona tumiguu twa mtoi nligonga hubby na pillow akaamka, we dressed tukaenda hosi, tukakuta road block but luckily polisi wakaacha tupite, kufika hosi nikalazwa, doc alikam akanifinya tumbo katoi kakaruka inje…Aki I cried, I lost my kid that way, baby boy( my dad) venye kulikucha nikapelekwa theater kuosha, nikarecover jioni n the following day on Sunday nikaelekea home…bwana akaanza kunipikia na kufanya kazi zote za nyumba ,akawa malaika, ananiongelesha kwa upole, but ikifika naitisha kitu ya kubuy tunakosana, nlikaa nikiitisha pad na anasema Hana doh, nikatumia tissue ikaisha, by good luck tukalipwa Thursday, nikamaliza Ile loan na nikabuy essentials Kama pad, nikabaki na 1k na nmeificha heri tulale njaa coz next week nafaa kurudi job…am still confused if this man could be having other stress ama ni Mimi hapendi ama Mimi nlirogwa Aki, my first kid ako 6yrs na hua anasema anajua nko na katoto kwa tumbo nitazaa soon, I feel like nimekatwa na sword nikikunbuka mtoto wangu labda alirushiwa mbwa , nothing to enjoy in this life aki

woiye pole sana kwakke…saa zingine ni ung’ombe inasumbua watu…how do you behave that way… kam hutaki mtoto dont dare try ceate one. 2 kama hutaki mtu mshoo… God atakulipa and pishia