The Paranoid Maghufuli

[SIZE=6]Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe[/SIZE]
[ul]
[li]29 Juni 2016[/li][/ul]
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/375/amz/worldservice/live/assets/images/2016/03/21/160321124514_john_magufuli_pistol_640x360_statehousetanzania_nocredit.jpgImage copyrightSTATEHOUSE TANZANIA
Image captionJohn Magufuli

Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, ambaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.

Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadhari, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.

Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.

Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.
http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/06/160628_magufuli_food

Do not feed the troll

Hehehe!
Did you mean ‘do not rouse the troll’?! :D:D

Huyu ndio moi wa TZ bado hawajafika kibaki era

Niko hapa ki upamba upamba sitingiziki. Wacha turudi kwa Hilo swala la Rais Mpendwa. Kwa kweli hata Mimi Kama binadamu lazima niogope sumu. Binadamu ni hasidi na wenye wivu.
Troll ni @luoamerican wacha kumwamusha.

Let the fucker report for duty; troll for breakfast kwani eko nene

Huyu ndio your future baba Raila akishaingia mle state house. SGR kwetu ni TAZARA tuliyo jenga 1970 dah!

Kwani statehouse wapishi ni wakenya? Mbona dosi wenu awaogope wapishi wake?

SITISHIKINGI HIVYO HIVYO AISEE

Kuna hasidi Kama wakenya

TAZARA, the ancient Chinese white elephant? Halafu kale kadaraja kamoja juzi walikamilisha wakapewa likizo ya kitaifa…:smiley:

http://www.thecitizen.co.tz/News/Tazara-reports-Sh12-4bn-loss/-/1840340/2016992/-/nybp8jz/-/index.html

TARAZA = OLD SHIT!!!
BEDFORD=TARAZA

:D:D:D:D:D:D:D

Kaka ni ancient Chinese sio? Sai ndio Chinese waja kuadanganya na hio ancient. Sisi sai tuko kwa underground train ambazo zinapita chini. Tunazuia kuharibu pori la wanyama na kulipa watu mashamba zao. Magufuli hoyee

MbOna wa china ndio wanakitengeneza SGR Pekee Yao? Si hio ni hujma

Ndugu, jaribu kuandika kwa kiswahili. Chenye umeandika sikielewi mimi… Au wataka nidadisi tu jambo unalojaribu kuwasilisha hapa?

Nimekua senior villager muda mchache. Si kesho nitakuwa old villager.

Evidence ndugu magoof, evidence

Tulia mdau naweka. Nimuhimu kwanza nipate kifungua kinywa

@Mtanzania Magufuli brother rescued by police. Magoof msije Kenya kutuibia
[ATTACH=full]46421[/ATTACH]