The Papal Pavilion

Simba one does an inspection
Crazy Dude angeweka hizi mbisha jana.
[ATTACH=full]21779[/ATTACH] [ATTACH=full]21780[/ATTACH] [ATTACH=full]21781[/ATTACH] [ATTACH=full]21782[/ATTACH]

ADC ako wapi?

Uhunye ni mtu down to earth.

Na mbona hii mass haikupelekwa uhuru park?

1 Like

security nightmare

1 Like

[ATTACH=full]21785[/ATTACH] Usiku

Omwami weka mbisha vizuri

Fixed angalia hapo juu

poa, hii pavillon imekula million ngapi?

Naskia fifty million mpaka kulipa home boys entertainment.

hii pavillion ni ya wapi na ni ya nini. na ni watu wangapi watashiba ama kupata kuenda hositali juu ya hii pavillion?

:D:D:D hio nyumba imejengwa kwa kasi

And they welcomed jesus in a manger

:(:(:D:D:D

1 Like