The only undefeated HW champion

@Wanaruona huyu jamaa alikuwa mwoto. Ever heard of him?

https://www.youtube.com/watch?v=d5B3EDh-G0s

I thought ni HIV champion ,nlikua nakimbia kuona Kama ni @uwesmake ndecere Baraza

Mnapenda chokosh war na uwesmake

Huyu oga alikuwa fiti body shot.

Alikuwa na some Tyson in him. Juu SI mlami hakutambulika.

Zi I think ni hizo ngori zake ndio zilifanya asitambulike.

Aliji mess ki Tyson. Hio game yake na Tua ilikuwa noma sana. Wali exchange ma faol wakavunja record ya the most exchange

The commentetary was on another level ati sacrifice their fighter to the Nigerian cannibal…then humanitarian values prevailed:D:D:D…but si Tyson Fury is undefeated HW?

But Nigeria huwa na some talented chaps then kuña huyu hapo check him out