kwa wale hupenda documentary za Aljazeera.Hii month wsko na documentary moto sana. Hii ya THE OCCUPATION OF THE AMERICAN MIND. Kama kawaida itaanza @11pm. Tupatane hapa saa sita tupeane commentary on it. Pua mwenye atawesa kuiweka hapa after imekua aired ,please do.
2 Likes
Al Jazeera is biased as fuck towards Islam.
not really mblo huwezi compare AJ hucheza safe sana. Si we watch the documentary then tupeane verdict. ama namna gani.
1 Like