wawache fangi tu…and ev’rything’s gonna be alright…
Kweli Babaa
:D:D…huku kijiji juu ya kuzoea muvi za dj afro,mtu yeyote ameeuana kinyama tunamuitanga serial killer
Boda boda man in the mix
Lakini kule jela zote zafichwa kwa kabat!
Ara, shoka imemtembelea…lakinj tuelewane kitu na hawa wanawake…it’s your turn to eat, chapa mpaka itoe moshi kisha achia mwingine…
And he is an excellent footballer kwanza.talented player.was shocked to see his face allover
the way he carried himself kwa court mi nashuku si yeye…na wapi tatoo?
unamjua pia?tat ata haionekani but saw he was released.ningeshtuka ati alifanya hiyo kitendo