I find this Mark X to be the most bang for your buck toyota. Interesting fact about this car is that it has the same 2.5 litre V6 like all the other newer models but it is actually the most powerful with 15 more horsepower than all the newer models. Alafu vile it is dirt cheap. I absolutely adore this car.
Noted Mr Ben
Hehe, hio gari na mwanamke hakuna tofauti. Body inachapa haraka sana :D:D
This is not necessarily true. Unajua ni gari ya kitambo 2006, like 17 years ago so of course utaona zingine zimebeat. But gari ni vile unaichunga. But hata kama body inaeza beat, hiyo engine 4GR FSE can go for 1 million kilometres trouble free. And it is very fast btw.
why is it “dirt cheap?”
Market forces of demand and supply. Wakenya wanaogopa engine kubwa.
Hehe, bei ya mafuta ndio inaleta changa moto.
hapana sio maneno ya engine. io gari huchapa haraka inakaa vibaya
Just like any other 17 year old car. But nimeona some very clean units. Ukifanya due dilligence vizuri unaweza angukia kitu kali sana like this one.
Vile unaongea Unaweza ingiza dicc Kwa exhaust pipe ukule kama pucci
To be honest hii uoga sijui hua ya nini.
2.0 na 2.5 litre huku kenya zinanyonya almost the same…driver behaviour and car condition matters…talking from experience. Personally I can’t drive a car below 2500cc…I feel like am forcing it to do things it can’t…we both get frustrated