The Luo in me (a wajaka only thread)

hehehe, @introvert hio mdifu ya dogi hua una buy wapi na mbesha ngapi ata mi niundie shepparts zangu nyamchom once or twice a week,

zangu hua nazileta ndoo tatu imejaa nyama na mifupa from three restaurants, mi huu shangaa sana kwani watu wanabakisha aje nyama hivo, unakuta mifupa aina mingi sana na zimejaa nyama nikama mtu hakukula ata hadi masteak mzima ya kuku, tena kuna nyama mingi sana ya ng’ombe na ya kuku hadi kuna samaki hata (tho niliwashow wasiweke samaki tena juu inaleta kazi mob kui chambua before ni feed sheppats) shepparts zime nona sana zinakula poa kuniliko bana.