The life of modern Prophets

Wajinga ndio waliwao. Wacha nabii ale. Fungu langu la kumi mimi humpa yeyote ninaye muona ana shida.

1 Like

Who are we to judge? Mere mortals we are, vanity of vanities all is??? Anyway I came to learn that media may not air positives of some of the preachers,whom they have helped,donations they have made and stuff…

really? wewe ni mchungaji, ama ni msaidizi wa nabii?

kama T.DJakes, the media should should be celebrating him daily for giving Kenyans all over piped water

Hiyo siwezi kataa, bible school nilisomea kwa dirisha

@gashwin we be looking at both sides.tusiwe the angry ever complaining people.hehehe this week a cucu was released from prison, all still people were negative about it

Religion is the opium of the masses.

lakini hujasema kama wewe ni mshungaji wa kondoo…

Ile siku watu watamea brain (hopefully) hawa prophets watalilia kwa choo

Mimi ni kondoo,na funny enough nashiriki kwa a mainstream church

Hizi ndini zakiroho watu wachunge sana. Mahali unaenda kusomewa nyota yako ati na kuambiwa mambo zako. Wenye hizo ndini wanaokota pesa tu and they do not deliver their sheep from the demons they speak against. As long as the demons can stick around bank accounts will forever be full.

2 Likes

That that come from God is easy to know, likewise the one that is not from Him is also easy to know. Then that is when you realize religious cults are predominantly found in Africa.

I never knew she is that domineering.

Kiswahilli napiga wewe chenga but I concur.

Thanks.:slight_smile: