THE LAST MILE PROJECT.

[ATTACH=full]62916[/ATTACH]

Kila mtu apate stima.

10 Likes

Si ujenge nyumba poa lakini!!

3 Likes

[ATTACH=full]62917[/ATTACH]

That is a good house by the standards of where I come from.

3 Likes

Did you guys watch that saga in Mombasa where some thugs masqueraded as Kenya power staff and collected thousands of shillings from locals that wataekewa stima?

1 Like

poshomill inaweza toshea hapo ndani ?

Kwani?

1 Like

hhaha #TEANKPLCZUKU

@Some Say ndio huyu mkamba mwingine ameweka picha yake kwa profile heheheh mpaka twitter handle .

3 Likes

@kingolonde kuja uchukue hawa watu wako wa Kwa Vonza, wanasumbua sana

3 Likes

Na Genya…yasonga mbele…

Lol…nuu waasya ni mukamba?

:D:D:D …

Nothing wrong with this hacienda

hapa kafault kakitokea hio nyumba hakuna tena

Acha watu wapate umeme, kwani iko nene.

2 Likes

naona #teamunga in solidarity

sasa imebaki tu Zuku, hiyo nyumba ikuwe chonjo

1 Like

Hako kanyumba ni kama zile huwa kwa cartoons - kukiwa na overload kanaungua in three seconds mwenyewe anabaki na alama ya mshangao na jivu kwa uso.

1 Like

coomernina mzee bado wewe huwatch cartoons?

4 Likes