na vile waarabu uku ndio drug dealers number one. Kuna park mingi sana uku wao ukinda drugs live live
Little knowledge is very dangerous, huyu boi alijiona mkali sana.
Uhuru once promised that no kenyan will be tried in a foreign court…
I remember that, but then… this guy is small fish. Only big fish WIRR NEFA BE TRIED in a foreign court
Kwanza wa Morocco na wa Tunisia. Hawa watu ni meffi
Prison= boot-opener paradise hehehe
Alafu kwa news unaskia badala waseme ni morocco & tunisia wanasema North Africa…sasa walami wana assume pia sisi waafrica wengine tuko in the mix. Kwani uko ujeru?
Nko hapa Italy na hawa watu wamejaa sana.
Hehe … hii ni ya mahard core. Akicheza atachoreshwa saba
Huku kwao wanajua hawawezi jaribu hizo
In the eyes of gava huyu ni meffi tu
@kush yule mnono huyu boyz ametoka mtaa gani? ananikalia boy flani wa baha.
Inategemea na type of drug kama ni drug kaa cocaine hapo angepata sentence mzito
Hata big fish akishikwa na drugs huko UAE atalala jela and there is nothing the Kenya president ata fanya
yaani veve tu unapata 4years? Na ndukulu je?
Usitake jua
Noma sana…pole kwake…si wakuje hapa Mama Ngina drive Sato, itabidi wachote 99.9% ya wasee sababu kila mseh nikuchana kama mbuzi.
All I know is that ni mboyz wa eastlando. Anaitwa Jimmy
Mbole kwake if he knew the consequences in the first place
hakua na lawyer? veve at least angejitetea aseme tu ni african herb for healing some ka co condition kama chronic headache alafu aseme hata hakua na habari its illegal, ama haku declare kwa port of entry?