The jury has decided

Finally mujamaa amesomewa hukumu yake. 4 years ndani ya neti for being in possession of Mairungi. Mbica ya yout ndo hio.

[ATTACH=full]70459[/ATTACH]
FILE PHOTO

Mairungi ndio lugha gani?

1 Like

Kush unaongea kuhusu nini? Huyo ni nani

Damn…4yrs, Alafu after hio 4 yrs ni deportation ama?
@Jazzman…mauringi =miraa

@Ebru, the guy was caught smuggling miraa into Dubai

1 Like

Pole kwake. Sasa wale wanamtegemea huku pia ni kuanza kujipanga.

Mairungi ni wingi wa Turungi ama?

7 Likes

Alikuwa anado job gani huko

Unadai vacancy nini? :D:D

8 Likes

:D:D:D:D:D

Yea. After 4 years ni deportation never to ever set foot in the uae

1 Like

Was an electrician. Unadai hio post nini?

Zi just curious

Embassy ya Kenya si imtete a deportiwe tu saa hii…sasa enyewe sheria ni punda

Hii stori ni noma,utapata jamaa alifanyiwa harambee huku kenya na folks wake ndio apate life poa majuu

3 Likes

Waaa that is harsh. In the E.U ukiwa deported, unapatiwa suspe ya 5yrs never to set foot in any E.U country but ma-ordinary (Nigerians kwanza)urudi chini ya maji alafu wanatafuta mwoman mlami wanampatia ball…once una mtoi huku sana sana Germany hakuna mahali wanaweza kupeleka

1 Like

Damn…

yeye pia i think alikasirisha waarabu kuchafua mairungi kuweka ndani ya socks

8 Likes

Mwarabu na drugs ni zero tolerance esp kama wewe ni nyeuthi ya Africa hakuna chance. Mboyz ako lucky to get away with 4 years

May he not drop the soap :smiley:

Sand niggars might DFHKMNKMN

4 Likes

Jela ni ile ile ya sandwich for lunch na maflat screen kule ulikua umetupwa juu ya tei